Align CenterWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akislaimiana na Askofu Methodius Kilaini baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba kwa ziara ya siku nane mkoani Kagera, leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akislaimiana na Askofu Methodius Kilaini baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba kwa ziara ya siku nane mkoani Kagera, leo. (Picha na Ofisi ya Waziri MKuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. mdau hapa sina la kuchangia ila naomba huyu alieandika hii heading angalie vizuri si AWASIRI ni AWASILI sjui kama ndio typing error au mother tongue kidogo imeingia hapa. kazi kwako mdau

    ReplyDelete
  2. Mmh uyo ni mwenye baraghashia ni askofu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...