Home
Unlabelled
MAMBO YA GADO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huu ndio ujinga na ubinafsi wa baadhi ya viongozi wetu Afrika,amejaribu kuchakachua kura ikashindikana ,matokeo ya uchaguzi wa urais yametoka akashindwa ikabidi alazimishe kubaki madarakani kwa kutumia pawa yake ya majeshi,marais wa kiafrika toka nchi mbali mbali wamejaribu kumsihi aachie ngazi hakutaka.Matokeo yake vita na watu zaidi ya 1000 wamesha kufa na zaidi ya 100,000 wakiwemo akina mama na watoto wamekimbia nchi,na wengi wamesafiri safari ndefu kwa miguu,sasa anatapa tapa asijue la kufanya.Jamani waafrika tujifunze kutoka katika mifano hii kwa uangalifu,tushirikiane kupinga kabisa udikteta,ufisadi,na uonevu ili kuwepo na demokrasia ya kweli.Wanaofutia ni Mugabe,Museveni,na wengine majina tunayahifadhi hadi hapo baadae,huu ndio upepo unaoendelea kufagia madikteta wote wa kiafrika,ukivuma hakuna wa kuuzuia,enzi za longo longo zimepita,mtu akikwamia madarakani dawa ni hiyo tu hakuna huruma.Gbagbo huu ndio mwisho wa reli sijui atapokewa na nani??labda Museveni au Mugabe.
ReplyDeleteMUNGU IBARIKI AFRIKA.
Mdau Accra-Ghana.