Mchungaji wa Kanisa la Mtakatifu Johnson la Mwananyamala jijini Dar es Salaam,Elias Maguu akimpa sakaramenti ya Kimaimala kwa kumuwekea mkono kichwani Timoth Albert wakati wa ibada ya Kipaimala iliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Baba mzazi wa Timoth Albert ,Albert Mkomba akimvisha taji la mwanae baada ya kupata sakaramenti ya Kipaimala katika Kanisa la Mtakatifu Johnson Mwananyamala jijini Dar es Salaam,(kushoto) mama yake Elice Mkomba.tafrija ilifanyika katika ukumbi wa Gadern Mwananyamala.
Timoth Albert akinyweshwa Shampeni na mpambe wake Charles Kamaleki wakati wa sherehe ya Kipaimala iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Johnson jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. 3 pieces suit, na joto lote hili la bongo! Wadanganyika mpaka tuje kujielewa shughuli ipo.

    ReplyDelete
  2. Baba huyo alizaa huyo mtoto akiwa na miaka mitano ama...Mbona baba kaonekana mdogo hivyo au ni macho yangu? By the way that is a compliment he looks so young to have such a big kid

    ReplyDelete
  3. We anony wa 4.49am,huyo baba hana udogo wowote, macho yako naona yanahitaji msaada wa haraka. nways,Hongera Timothy kwa kupata kipaimara.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 01, 2011

    Jamani ni Kipaimara na sio kipaimala

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...