Wananchi wakimtazama Bw. Amiri Abdallah(46), maarufu kwa jina la Chura Mchimba Makaburi ya Kinondoni, aliyejeruhiwa huko Tegeta jijini Dar es Salaam akidaiwa kubomoa nyumba sehemu ya Wazo Hill huko Madale akiwa na wenzake 26 leo. Aliyemuinamia akimpa pole ni Mkewe.

Habari ambazo bado tunatafuta uthibitisho zinasema watu kadhaa wanasadikiwa kufariki baada ya mapigano kuzuka kati ya wakazi wa eneo la Nyakalekwa Tegeta na watu waliokodishwa kwenda kuvunja nyumba zilizojengwa katika eneo hilo lenye ukubwa wa hekta 200 linalodaiwa kumilikiwa na mkazi mmoja wa jijini Dar es salaam.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...