Viongozi wa Liverpool Family wakipanga mikakati kabla ya michuano ya mashabiki wa timu nane kubwa duniani itayofanyika leo asubuhi katika viwanja vya leaders club, Dar. Toka kulia ni Mwenyekiti Adam Gwao, Ankal, Zizzou Fashions na Katibu Mkuu wa Bwawa la maini Bongo. Hapo hakuna mchezo kila kitu kinaenda mswano
waratibu wa michunao hii

Bwawa la maini ni klabu pekee iliyojiandaa vilivyo
Fomu ya kujiunga na wana Bwawa la maini itayotolewa leo wakati wa michuano, Chini ni hati ya usajili wa klabu ya Bwawa la maini


SHERIA ZITAKAZOTUMIKA

. KILA MCHEZO UTACHEZWA KWA DAKIKA 20-DK 10 KILA KIPINDI.

. USAJILI NI WACHEZAJI 15, WATATU KATI YAO LAZIMA WAWE WASICHANA!

. WANAOTAKIWA KUCHEZA NDANI NI WACHEZAJI SABA

. MABADILIKO YANARUHUSIWA MUDA WOWOTE NA MCHEZAJI ANAYETOKA ANARUHUSIWA KUINGIA TENA.

KUNDI A. KUNDI B

. CHELSEA . ARSENAL

. LIVERPOOL . BARCELONA

. MAN UTD . INTER

.REAL MADRID . MILAN

RATIBA RATIBA

CHELSEA V LIVERPOOL-GAME 1 . INTER V BARCELONA-GAME 2

MAN UTD V R.MADRID –GAME 3 . ARSENAL V MILAN-GAME 4

LIVERPOOL V R.MADRID –GAME 5 . MILAN V BARCELONA-GAME 6

MAN UTD V CHELSEA –GAME 7 . INTER V ARSENAL-GAME 8

R. MADRID V CHELSEA-GAME 9 . MILAN V INTER –GAME 10

MAN UTD V LIVERPOOL-GAME 11 . BARCELONA V ARSENAL-GAME 12

SEMI FINAL- WINNER-GROUP A VS RUNNERS UP-GROUP B-GAME 13

SEMI FINAL- WINNER –GROUP B V RUNNERS UP-GROUP A-GAME 14

FINAL : WINNER GAME 13 V WINNER GAME 14



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. michuzi huyo mwenye t-shirt ya taifa atachezea timu ipi?

    ReplyDelete
  2. Ni 7 aside jamani siyo 7 asided. Bonanza safi.

    Mdau kutoka kwa bibi.

    ReplyDelete
  3. Bongo wanauame wengi wanavitambi kwanini? Hebu nirudi toka ughaibuni nianzishe bonanza la kupunguza vitambi. Jamani unene sio sifa ni ugonjwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...