Chelsea
Bwawa la Maini
Inter Milan
Barcelona
Manchester United

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mtamtoa roho yule mkuu wa wabeba boksi wajameni, taratibu!

    ReplyDelete
  2. safi sana!!!! NEWCASTLE UNITED HAIPO???

    ReplyDelete
  3. Wamewabamba kweli!

    ReplyDelete
  4. Upenzi wa mpira wa mguu hauchagui..hutazama hata mpira wa mchangani.Kwa hawa walioazimisha siku ya Karume kwa namana hii, wengi wao ni mashabiki tu na wala si wapenzi wa mpira.Tena wengine ni ulimbukeni....saikolojia yao katika ushabiki imepitiliza.Humu kuna wengine wamejiita Messi, Etoo,Rooney.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...