Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hi Michuzi,asante kwa kazi nzuri ya habari kemkem toka homeland Tanzania,japo bado sijajua hasa dhumuni la hili tukio zima kufanyika nyumbani Tanzania siku ya leo,kwangu mimi nimeshindwa kabisa kuelewa naomba unifahamishe madhumuni hasa,kwani ligi ya UEFA na Tanzania zinamahusiano gani? nivizuri tukaelimishwa kwa sisi tusiyo fahamu kama tupo wengi ikiwa si mimi tu pengine nisiye fahamu.Asante

    ReplyDelete
  2. wakulaumiwa wala si hawa vijana...hii yote inatokana na uongozi mbovu katika vilabu vyetu vya nyumbani pamoja na chama cha soka kiasi kwamba ligi imepoteza mwelekeo kabisa kutokana na kunga'ang'ania mifumo ya kizamani katika uendeshaji wa soccer hapa Tanzania.
    Ukimuuliza kijana kuna timu ngapi tu katika ligi kuu ya hapa nyumbani si ajabu kukuta hafahamu, lakini ukimuuliza English PL atakutajia idadi, nani alishuka daraja nani alipanda na kikosi kizima cha timu anayoshangilia atakutajia.(Hii ni aibu ila kutokana na kuwa tumeizoea tunaona ni jambo la kawaida na ni sawa kabisa)

    Mlowezi wa ughaibuni.

    ReplyDelete
  3. wabongo wamelewa na vikombe sasa….

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...