Waziri wa Mawasiliano Prof. Mbarawa akizungumza wakati wa uzinduzi wa kitabu cha Sheria za TEKNOHAMA .
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof John Nkoma wa pili kushoto na Mkurugenzi Mtendaji wa Mkuki na Nyota Bw. Walter Bogya wa pili kulia wakifungua kitabu kipya cha Sheria za TEKNOHAMA wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho jijini Dar es Salaam, wa kwanza kulia ni mtunzi wa kitabu hicho Adam Mambi.
Prof Nkoma akisoma kitabu kipya cha Sheria za TEKNOHAMA wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho
Adam Mambi mtunzi wa kitabu kipya cha Sheria za TEKNOHAMA akitoa maelezo mafupi juu ya kitabu hicho, Mambi pia ni Mkuu wa Idara ya Utafiti katika Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (LRCT)
Baadhi ya washiriki wa uzinduzi wa kitabu kipya cha Sheria za TEKNOHAMA.(Picha zote na Ofisa Habari wa Tume ya Kurekebisha Sheria Munir Shemweta)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2011

    Kidogo sijaelewa. Kitabu cha seria zake za technoly? Sheria za nchi, Africa, au ulimwengu. Ninayojua kila nchi inasheria zake what works with others won't work with us. Sasa sijui hichi kitabu ni sheria zipi hapo. Tuelezee kidog tuwe na hamu ya kukisoma ili tujue our rights

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...