Home
Unlabelled
barca noma!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kaka misoup messi nomaaaaa eti mashabiki wa man u wanalinganisha messi na roony huo ukichaa ama kweli guadiola kasema kweli man u miguvu mingi barca ujuzi duuuuuuuuuu bora asenalll kuliko man aibuuuuuu
ReplyDeletekakaaaa lukin hongera kucheza final watu wanguuu
Que Golazo! Que Golazooo! GOOOOOOOOOOL!!!! La Pulga Leo Messi!!!
ReplyDeletehamna hali ya kuchafuka.
ReplyDeleteSasa hali shwari.
Hiyo fainali ilikuwa ni fundisho lililotolewa na Barcelona kwa Man U. Kwa kimombo "Barcelona gave Man U a lesson in football". Man U wakaishia kucheza "long balls" na mieleka.
ReplyDeleteMchezaji bora wa Manchester alikuwa ni kipa wao Edwin Van Der Saar, vinginevyo matokeo yangelikuwa Barca 7 United 1. United hovyo kabisa hawajui mpira, jina tu...ha ha ha......
ReplyDeleteohh sijui rooney hivi vidic vile lakini mmeona soccer linavyotakiwa kucheza, hata fergie amekiri kuwa man u walizidiwa vibaya sana sana sana katika idara zote, lol. congrats barca & king messi.
ReplyDeleteAnon wa kwanza nakubaliana na wewe 100%. Ni wehu kuwalinganisha Rooney na mfalme wa soka duniani Lionel Messi. Wako katika class tofauti: Messi super top class na Rooney third rate. Barca wanacheza soka hasa United ni wababaishaji tu.
ReplyDeleteKufungwa ni sehemu ya mchezo, lakini inapotokea unafungwa goli 3 kwa 1 kwa ball possession ya 66 kwa 33% ni kama haukuwepo uwanjani. Yaani mpira aliocheza Barcelona jana ni wa hali ya juu kabisa na kusisimua. Kuna wakati nilikuwa najisahahu na kudhani ni mechi ya Bercelona na Bandari Mtwara.
ReplyDeleteMan U mlidhani Arsenal ndio kibonde cha Bercelona tu? Kumbe nyie ndio vibonde zaidi. Hakumcheza kitu jana, nyie ni wababe wa west Ham na Fulham tu.
hakuna lakushangaza hapa, barca ni wakali na kila team iliyocheza na barca possesion huwa inakuwa tofauti sana kutokana na hawa jamaa kumiliki mpira vizuri, nachoona hapa ni wengi wenu kuwa na wivu tu kuwa man.utd kafika fainali basi, jitahidi na nyie kina arsenal, chelsea, liverpool, man.city najua ipo siku yenu pia
ReplyDeleteNasisi Simba tulifungwa dakika za mwisho!!
ReplyDeleteFergie is still breathing, he was shaking like a leaf last night.loving it.
ReplyDeleteHakuna jipya but good try
ReplyDelete