Mwakilishi wa TBL Mkoa wa Iringa,Bw. Changwe Masumbuko akikabidhi kombe kwa nahodha wa timu ya Chuo kikuu cha Ruaha kwa mchezo wa Pool ambao ndio walikuwa mabingwa wa Safari Higher Learning ngazi mkoa yaliyomalizika siku za hivi karibuni huko mkoani Iringa.
Mchezaji wa Pool kutoka timu ya chuo kikuu cha Tumaini Mkoani Iringa akiwa katika hekaheka za mashindano ya vyuo vikuu ngazi ya mkoa wa Iringa.
Mwakilishi wa TBL Mkoa wa Iringa,Bw. Changwe Masumbuko akifanya uzinduzi wa fainali za Mashindano ya Safari Pool mkoa wa Iringa kabla ya kuanza kwa mashindano hayo hivi karibuni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2011

    Badala ya kuwapa zawadi waliopata grades bora munawapa wacheza pool bora!

    Ndiyo maana vyuo vyetu migomo haishi kwani wanafunzi wanapoteza muda kucheza michezo ya aina hiyo. Ikifika kipindi cha mitihani ndiyo migomo inaaza kwa vile hakuna kitu kichwani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...