Mwakilishi wa TBL Mkoa wa Iringa,Bw. Changwe Masumbuko akikabidhi kombe kwa nahodha wa timu ya Chuo kikuu cha Ruaha kwa mchezo wa Pool ambao ndio walikuwa mabingwa wa Safari Higher Learning ngazi mkoa yaliyomalizika siku za hivi karibuni huko mkoani Iringa.
Mchezaji wa Pool kutoka timu ya chuo kikuu cha Tumaini Mkoani Iringa akiwa katika hekaheka za mashindano ya vyuo vikuu ngazi ya mkoa wa Iringa.
Mwakilishi wa TBL Mkoa wa Iringa,Bw. Changwe Masumbuko akifanya uzinduzi wa fainali za Mashindano ya Safari Pool mkoa wa Iringa kabla ya kuanza kwa mashindano hayo hivi karibuni.





Badala ya kuwapa zawadi waliopata grades bora munawapa wacheza pool bora!
ReplyDeleteNdiyo maana vyuo vyetu migomo haishi kwani wanafunzi wanapoteza muda kucheza michezo ya aina hiyo. Ikifika kipindi cha mitihani ndiyo migomo inaaza kwa vile hakuna kitu kichwani.