Home
Unlabelled
Exclusive: Lotus aongea kuhusu mstakabali wake katika Big Brother Amplified 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hicho kipini!....mmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhh
ReplyDeleteWenzangu wengi hatufahamu kuwa kumpiga mwenzio iwe ngumi au kichwa au kibao na akaumia kwa vyovyote vile kwa mfano mikwaruzo mwilini, shavu likawa jekundu, au hata kusononeka akakosa raha (kuumia kisaikologia) ni kosa la jinai uwe hapa Bongo na hata huko majuu - hukumu ni jela bila faini miaka 5-10.
ReplyDeleteKumpiga mwenzako ni kumpiga hata kama alikuchokoza kwa maneno ili mradi tu kuwa yeye hakukupiga.
Huko majuu, jambo hili la kumpiga mwenzako ni kubwa sana, mfano umpige mkeo au mtoto wako na ukushtaki wewe hata kama ni meneja, mkurugenzi au waziri ni jela tu, na kazi utafukuzwa.
Suala hilo linakuwa kubwa sana sana pale mkosaji ni mtu wa kuburudisha wenzake (entertainer e.g. superstar) au kiongozi, wewe utaandamwa na vyombo vya habari mpaka utakoma.
Kwa hivyo wakati sisi watanzania tumemkaribisha huyu Dada yetu Lotus kwa mbwembwe nyingi, huko kwa wenzetu waliostaarabika kwa kiwango cha juu zaidi yetu suala la dada yetu ni aibu kubwa sana. Na sisi pia kama jumuiya wa watanzania wanatushangaa - kwa vipi tunamshangilie mhalifu na wala tusimfunde asirudie tena tabia hiyo.
Hata kama ni tabia yake ya ubabe basi asingeificha basi anapokuwa ugenini? tena kwenye ambako kamera ziko tele na live.
Ni bora watanzania tukaweka wazi kuwa - Ubabe babe wa kupiga watu si desturi zetu, Tumweleze wazi wazi huyu Lotus sio kumshabikia tu, Aombe radhi kwetu kwa kututia aibu watanzania na pia kwa aliyemkosea. Anavyosema si regret si sahihi. Lazima a regret kitendo kile ili aweze kujijenga vyema.
Tabia zetu watanzania za kushabikia wahalifu, mafisadi, wazungu wa unga tuziache, zimepitwa na wakati. Wote hata hawa ma-superstars na viongozi pia wanaotutia aibu tuwaeleze wazi wajirekebishe tabia.
Tusiwe kama jamii ya aibu (shame society!!
Alex bura, Dar
Ughaibuni kupiga mtu ni kosa lakini adhabu yake ni ndogo tu kama vile unapewa adhabu ya kusaidia jamii, jela zao kuna TV, computer, sports. Lotus anaonyesha hakukulia TZ!
ReplyDeleteMwanamke akikupiga kofi, dont lash out and retaliate
ReplyDeleteJust enjoy it, its a sign of love
She loves you but she knows she cant have you
Kwa ujumla huyu binti ameitia aibu taifa lake la Tanzania kama kweli ni mtanzania. She looks she has some sort of eagle and bad attitude. She needs to come down and learn how to controll her temper. She failed the test in the really world. She needs to seek psychological help if not rehab. In developed countries for what she has done its a battery and felony, she will go to save sometimes in jail and be listed in sexual offenders. That is how you destroy your reputation. We are not proud for what you have done! learn how to be humble. Media don't even cover her stories its a shame to the country, to the family and friends. You need to grow up girl you can't just slap someone just like that! I hope you will change and think deeper about what you have done and never do it again.
ReplyDeleteMdau USA
Mmmhhhh ila all in all, huyu demu mbaya... Na wale jamaa walikuwa wanatafuta sababu tu ya kumtoa, utafikiri katoka sayri nyingine!!
ReplyDeleteHebu tutolee huyu "violent" gal. The girl seems to be rude and an aggressive bull, I'm not impressed at all. Msichana mzima amekosa hekima ya hata kushindwa ku apologize au ku-reaiize makosa yake.
ReplyDelete"Miss attitude"...Bad example for our country,
ReplyDelete