Home
Unlabelled
hepi besdei ya kuzaliwa Bw. Khamsin, mai hazbendi wa mama wa mitindo asia idarous-khamsin leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MZEE KHAMSIN KILA LA KHERI WA KWETU NAONA MAMA ASIA MUNGU ATAMZIDISHIA FUNGU LAKE KWA KUENDELEA KUPATA RADHI ZA MUME,{KICHEKO}
ReplyDeleteMUNGU AKUZIDISHIE UMRI MREFU,AMEEN
NDUGU YAKO.
SUNDAY,KANSAS,USA.
HUYO MZEE HAJACHANA NYWELE !
ReplyDeleteUncle Khamsini,Hongera sana kwa kusherehekea siku yako ya kuzaliwa,nakuombea mwenyeezi mungu akupe maisha marefu na mafanikio wewe pamoja na mkeo "mama mitindo"Asia Idarous Khamsini,natamani nami ningekuwepo hapo ili nipate kipande cha keki hiyo.Ni mimi mjukuu wa marehemu mzee Swedi Juma(Refferee)enzi hizo Tabora.
ReplyDeleteAbbu Omar,Prof.Jnr(Mwanamuziki)Tokyo,Japan.