Mjumbe wa Baraza kuu la umoja wa vijana CCM, Khadija Nassor Abdi akirejesha fomu kwa katibu msaidizi mkuu wa umoja wa vijana Zanzibar, Ndg. Hakiba Hassan Juma za kuomba kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Umoja wa vijana Taifa katika ofisi za umoja huo ziliopo Gymkana Mjini Unguja leo.
Picha na Hamad Hija MAELEZO, Zanzibar)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...