Kocha wa timu ya taifa stars, Jan Poulsen akifafanua jambo kuhusu mchezo wao wakimataifa wa kirafiki dhidi ya Bafana Bafana ya Afrika ya Kusini utakaofanyika leo kwenye Uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kocha wa Bafanabafana, Pitso Mosimane na Kiongozi wa msafara wa timu hiyo, Moses Tshabalala.
Kocha wa Bafana Bafana, Pitso Mosimane na Kiongozi wa msafara wa timu hiyo,Moses Tshabalala wakati wa mkutano wao na waandishi wa habari kabla ya mpambano wao dhidi ya taifa stars utakaopigwa leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam mishale ya saa 12 jioni.Picha na Francis Dande - Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...