*Soma hii waweza kuwini dili.
African Views Announcements: -KOFI ANNAN FELLOWSHIP
The Kofi Annan Fellowship provides the opportunity for talented and motivated students from developing countries, who lack sufficient financial means, to study management at ESMT European School of Management and Technology, Berlin, Germany. Successful fellows will graduate with a prestigious MBA from the most international business school in Germany.
Kwa maelezo ya kina tembelea www.thehabari.com gazeti la mtandao
Kaka Michuzi nashukuru sana kwa habari hii, Nilikuwa naisubiria sana kwa hamu hili tangazo kutoka Kwa Anani, kwani nilimsikia mwaka jana akisema kuwa atasaidia waafrika wanaohitaji msaada kama huu.
ReplyDeleteNiombeeni wadau nipate hii nafasi.
Juma Kishoka,
Berlin.