TIMU YA GLOBU YA JAMII INAPENDA KUOMBA RADHI KUTOKANA NA KWIKWI ILIYODUMU TAKRIBAN KUTWA NZIMA YA LEO KUTOKANA NA HOST WETU, BLOGGER, KUWA KATIKA MATENGENEZO YA KAWAIDA YA LIBENEKE AMBALO SASA ZOEZI HILO LENYE LENGO LA KUBORESHA HUDUMA LIMEKAMILIKA NA LIBENEKE SASA NI KAMA KAWA.

AHASANTE WADAU WENGI WALIOTUANDIKIA AMA KUTUPIGIA SIMU BAADA YA KUONA KWIKWI HIYO ILIYOKUWA NJE YA UWEZO WETU, NA TUNAWAAMBIA KWAMBA TIMU YA GLOBU YA JAMII INAWAPENDA KAMA MNAVYOIPENDA.

LIBENEKE OYE!
-MICHUZI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...