
Duka maaarufu la City Star Boutique lililopo mjini Dar-es-salaam limekamilisha blog yake pekee ambayo itakuwa inatumika kuwajulisha wale wakina dada wajanja wa mjini sehemu ya kukimbilia pale wanapotaka kupendeza.
Duka lipo eneo la Namanga Kimweri Road. Ni duka lenye kuuza bidhaa original zitokazo nchi mbalimbali duniani kama vile Italy, U.S.A, Hong Kong, Turkey na kadhalika. Bidhaa ziuzwazo ni kama vile, viatu vyenye visigino virefu ( High Heels), visigino vifupi (flat shoes), Sandals, Pochi mbalimbali nguo, na vipochopocho vya aina mbalimbali.
Duka letu lina staff mahili wenye uzoefu na maswala ya mavazi ya wanawake mbao watakusaidia wewe mteja kupata kile roho yako yapenda. Kwa wale wote watakao penda kujua au kuorder chochote kutoka kwenye duka letu au kwa wale wanaohitaji vitu kwa jumla wafike duka lingine la City Star lililopokariakoo kwenye makutano ya mtaa wa congo na mhonda karibu na DDC HALL.
Mnaweza kutuandikia kwenye e-mail hii citystarboutique@yahoo.com au kutupigia simu kwenye namba hii 0784829288.
karibuni sana
Da' Esther


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...