
Wachezaji wa timu ya mkoa wa Kagera Lweru Eagles ambayo imeingia raundi ya pili ya Kili Taifa Cup ambayo ni ya mtoano wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali na vongozi wa timu. Aliyevaa suti ni katibu tawala wa mkoa wa Kagera Bw. Nassoro Mnambila na aliye nyuma yake aliyevaa shati la njano ni mwenyekiti wa chama cha mpira mkoani Kagera Bw. Richard Odhiambo.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...