Mkuu wa Jeshi la Polisi-IGP, Balozi wa Ghana Umoja wa Mataifa New York, Katibu Mkuu Mambo ya Nje, Ndugu Omary Mjenga-Mwakilishi Mkaazi wa UNOPS, Ndugu Robert Yira Koroma-Mkuu wa Majeshi ya Sierra Leone, Balozi wa Canada Umoja wa Mataifa New York,  Ndugu Larrie Bassie -Mkuu wa Usalama wa Taifa la SL, Mhe. Raymond I. Kargbo, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Sierra Leone, na wa pili kutoka kushoto ni Michael Schullenburg, Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Sierra Leone.
Ndugu Mjenga akionHii ilikuwa sherehe za makabidhiano ya magari matano aina ya Toyota Landcruiser Hardtop, na vifaa vingine vya ofisi kwa serikali ya Sierra Leone vilivyonunuliwa na UNOPS kwa ajili ya kuanzisha Ofisi ya pamoja kati ya vikosi vya Usalama yaani, Sierra Leone Police (SLP) na Jeshi la Sierra Leone (Republic of Sierra Leone Armed Forces-RSLAF). Hii ni kati ya miradi inaendeshwa un Umoja wa Mataifa na kusimamiwa na UNOPS. Ni katika jitihada za kuhakikisha amani ya kudumu, kwa kujenga uwezo wa mashirikiano kati ya vikosi vya usalama kwa pamoja.
Katika sherehe hizo, pia wajumbe wa Peace Building Commission kutoka New York, walihudhuria. Ujumbe huo uliongozwa na Mwakilishi wa Kudumu wa Canada, Umoja wa Mataifa, New York.gea na Waziri wa Mambo ya Ndani ambaye alipokea vifaa hivyo kwa niaba ya Serikali.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 27, 2011

    hongera sana omar mjenga.wakilisha tanzania huko siera lione baba.na wenye wivu wajinyonge.we ndo un we ndo unazidi kupaa.wawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...