
Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Arusha Bi. Nembris Kimberly akipokea kompyuta na printa kutoka kwa Mbunge wa viti maalum Vijana CCM Mkoa wa Arusha leo
Mbunge wa Viti maalum Vijana CCM Mkoa wa Arusha Mh. Catherine Magige (mwenye begi) leo katembelea makundi mbali mbali ikiwa ni pamoja na Hospitali ya Mount Meru ambapo alizawadia wagonjwa na kuwapa pole Pichani Mh. Catherine Magige akiwa na Vijana na Viongozi wenzake wakiingia Hospitali ya Mount Meru kuwatembelea wagonjwa leo
Mbunge Catherine Magige na wenzie wakifyeka majani nje ya wodi ya wagonjwa wa Hospitali ya Mount Meru Mkoa wa Arusha
Mh. Catherine Magige akigawa zawadi ya khanga, sabuni na mafuta ya kujipaka kwa akina mama na watoto katika Hospitali ya Mount Mer
Mh. Catherine Magige akimfurahia mtoto mchanga aliyezaliwa siku ya familia

Mbunge wa viti maalum Vijana Mkoa wa Arusha Catherine Magige akiwa na Baba Askofu Laizer nyumbani kwa Askofu


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...