Kunradhi wadau

Niko mnusoni na TV hakuna huku. Ngapi ngapi Wembley jamani. Maana dah!

Michu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 28, 2011

    3 -1 bassa bingwa wa ulaya mpira umekwisha

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 28, 2011

    manu 1 bassa 3 pira kushnehii

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 28, 2011

    Michu Man United kalala 3-1 leo aliingia choo cha kike

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 29, 2011

    Michu ni Barcelona 3 Manchester 1 na matokeo ya Cairo ni kuwa Wydad 3 na Simba 0

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 29, 2011

    MAN U 1, BARCA 3

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 29, 2011

    Barca wamechukua kombe kwa kuichapa man 3-1. Mdau urate sa mnuso mwema

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 29, 2011

    Teh teh uncle bana.
    Man Utd kamchapa Barca tatu kwa moja.Man utd bingwa..
    Pamoja na kuwa man utd kachukua ubingwa, Barca walitawala mpira dakika zote za mchezo. Messi amekamatwa ile mbaya.

    Man utd oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

    Man utd damu.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 29, 2011

    tukisema tutaonekana tunaongeza chumvi wacha wakujibu MAN UNITED.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 29, 2011

    Aibu kama Ma U wamelowa 3-1. Ingekuwa soo zaidi kama wangecheza muda mrefu zaidi.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 29, 2011

    Ahh brother acha mambo yako, sema unachekelea jamaa walivyopelekwa darasa leo..

    Duuu, ndugu yangu utafikiri Simba alikuwa anacheza na Man U. Sina tatizo na Manchester ila tuseme ukweli kombe limeenda linakostahili, Berca wanauona bwana.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 29, 2011

    barc3, man 1

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 29, 2011

    Wewe kama ungekuwa unataka matokeo si ungeyapata online wakati unapost hii msg kwenye hii blog? Umeamua kutuchokoza mashabiki wa Manu U ila jana tungeshinda sema Refa alituonea Sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 29, 2011

    Sasa ukisikia mtu anasheherekea misiba ya wenzao ndio haya sasa! lakini inshaallah

    man u 4 ever

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...