Kunradhi wadau
Niko mnusoni na TV hakuna huku. Ngapi ngapi Wembley jamani. Maana dah!
Michu
Niko mnusoni na TV hakuna huku. Ngapi ngapi Wembley jamani. Maana dah!
Michu
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
3 -1 bassa bingwa wa ulaya mpira umekwisha
ReplyDeletemanu 1 bassa 3 pira kushnehii
ReplyDeleteMichu Man United kalala 3-1 leo aliingia choo cha kike
ReplyDeleteMichu ni Barcelona 3 Manchester 1 na matokeo ya Cairo ni kuwa Wydad 3 na Simba 0
ReplyDeleteMAN U 1, BARCA 3
ReplyDeleteBarca wamechukua kombe kwa kuichapa man 3-1. Mdau urate sa mnuso mwema
ReplyDeleteTeh teh uncle bana.
ReplyDeleteMan Utd kamchapa Barca tatu kwa moja.Man utd bingwa..
Pamoja na kuwa man utd kachukua ubingwa, Barca walitawala mpira dakika zote za mchezo. Messi amekamatwa ile mbaya.
Man utd oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Man utd damu.
tukisema tutaonekana tunaongeza chumvi wacha wakujibu MAN UNITED.
ReplyDeleteAibu kama Ma U wamelowa 3-1. Ingekuwa soo zaidi kama wangecheza muda mrefu zaidi.
ReplyDeleteAhh brother acha mambo yako, sema unachekelea jamaa walivyopelekwa darasa leo..
ReplyDeleteDuuu, ndugu yangu utafikiri Simba alikuwa anacheza na Man U. Sina tatizo na Manchester ila tuseme ukweli kombe limeenda linakostahili, Berca wanauona bwana.
barc3, man 1
ReplyDeleteWewe kama ungekuwa unataka matokeo si ungeyapata online wakati unapost hii msg kwenye hii blog? Umeamua kutuchokoza mashabiki wa Manu U ila jana tungeshinda sema Refa alituonea Sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
ReplyDeleteSasa ukisikia mtu anasheherekea misiba ya wenzao ndio haya sasa! lakini inshaallah
ReplyDeleteman u 4 ever