Rapa wa bendi ya Mapacha Watatu, Kharid Chokoraa akigani wakati bendi hiyo ilipotumbuiza katika onyesho la wanamuzi walioshinda tuzo za Kilimanjaro Music 2011 lililofanyika wikiendi hii  kwenye Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi (MUCCoBS) na kudhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia kilaji chake cha  Kilimanjaro Lager
 Waimbaji wa bendi ya Mapacha Watatu, Jose Mara na Kharid Chokoraa (kulia) akitumbuiza wakati wa tamasha hilo lililodhaminiwa na TBL kupitia kilaji chake cha  Kilimanjaro Lager
 Mwanamuzi bora wa nyimbo za kizazi kipya bongo fleva, Twenty Percent akitumbuiza wakati wa tamasha hilo
 Wanamuzi bora wa Hip Hop, Jacob Makala 'JCB' (kulia) na Daudi Bakari  wakitumbuiza wakati wa tamasha la wanamuzi walioshinda tuzo za Kilimanjaro Music 2011 
Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT, Linah akitumbuiza wakati wa tamasha hilo la wanamuzi walioshinda tuzo za Kilimanjaro Music 2011 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...