Home
Unlabelled
sporah kwenye harusi ya mwana wa mfalme london
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
I love this guy, talk truth abt Tanzania as is a sleeping giant.... real ma pip's we need to wake up, wanajua wat we gat here in Tz ila ni sisi tu wenyewe we still dont know our potential coz ya hawa viongozi wetu waliolala....
ReplyDeleteswala hapo sio viongozi kulala kutokana na nyie watanzania kila kitu kujifanya mnajua wakati mnajua kabisa na nafsi zenu zina wasuta kuwa hamjui mmepewa tu hulka ya kuongea sana bila kujua unachokiongea hujui mdio hata viongozi wenu wanawaacha mfanye shuhuli hizo wenyewe inasikitisha sana kwa kweli
ReplyDeleteGood job Sporah!
ReplyDeleteWhen will the sleeping giant wake up?!
ReplyDeleteJamani sexy sells, Tanzania wanatakiwa watumie wakina dada warembo kama hawa, kina Miss Tanzania kuitangaza nchi. Tatizo nikwamba viongozi wetu hawataki kutoa hela kuipromot nchi yetu, wanapenda kutumia Masai na mlima kilimanjaro, hayo mambo yamepitwa na wakati sikuizi mambo yoote ni through beauty, kwanza watu wa nchi za nnje wengi wanajua Masai wanatoka KENYA, hivyo tukiwatumia Masai tunaipromot Kenys na sio Tanzania.
ReplyDeleteUkiangalia matangazo ya nchi za watu its all about sexy, sio kwa ubaya lakini thats the fact.
MMEWAONA MASHOGA SISI BONGO HATUFURAHII HIYO YA PICHA ZA WANAUME MASHOGA NA WASAGAJI NAOMBA huitoa haraka maana wananchi wameanza kuuliza kwa nini hasi EDIT KWANI KULIKUWA HAKUNA WATU WA KUWAOJA
ReplyDeleteutamwoji nani london kila mtu bizy like there is no tomorow ..
ReplyDeletemtu aache anachofanya ajibu maswali ?????? very rare