Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 01, 2011

    I love this guy, talk truth abt Tanzania as is a sleeping giant.... real ma pip's we need to wake up, wanajua wat we gat here in Tz ila ni sisi tu wenyewe we still dont know our potential coz ya hawa viongozi wetu waliolala....

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 01, 2011

    swala hapo sio viongozi kulala kutokana na nyie watanzania kila kitu kujifanya mnajua wakati mnajua kabisa na nafsi zenu zina wasuta kuwa hamjui mmepewa tu hulka ya kuongea sana bila kujua unachokiongea hujui mdio hata viongozi wenu wanawaacha mfanye shuhuli hizo wenyewe inasikitisha sana kwa kweli

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 01, 2011

    Good job Sporah!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 01, 2011

    When will the sleeping giant wake up?!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 01, 2011

    Jamani sexy sells, Tanzania wanatakiwa watumie wakina dada warembo kama hawa, kina Miss Tanzania kuitangaza nchi. Tatizo nikwamba viongozi wetu hawataki kutoa hela kuipromot nchi yetu, wanapenda kutumia Masai na mlima kilimanjaro, hayo mambo yamepitwa na wakati sikuizi mambo yoote ni through beauty, kwanza watu wa nchi za nnje wengi wanajua Masai wanatoka KENYA, hivyo tukiwatumia Masai tunaipromot Kenys na sio Tanzania.
    Ukiangalia matangazo ya nchi za watu its all about sexy, sio kwa ubaya lakini thats the fact.

    ReplyDelete
  6. MMEWAONA MASHOGA SISI BONGO HATUFURAHII HIYO YA PICHA ZA WANAUME MASHOGA NA WASAGAJI NAOMBA huitoa haraka maana wananchi wameanza kuuliza kwa nini hasi EDIT KWANI KULIKUWA HAKUNA WATU WA KUWAOJA

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 02, 2011

    utamwoji nani london kila mtu bizy like there is no tomorow ..
    mtu aache anachofanya ajibu maswali ?????? very rare

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...