Wanafunzi wote watanzania mnaosoma katika chuo kikuu cha Urafiki(Lumumba) mnataarifiwa kwamba form za kugombea uongozi wa T.S.U kwa wale wanaotaka zimeanza kutolewa.Mwisho wa kuchukua na kurudisha form ni tarehe 27/05/2011.Nafasi za uongozi zitakazo gombewa ni:-

1.Rais wa T.S.U.

2. Makamu wa Rais wa T.S.U.

3.Katibu Mkuu wa T.S.U.

4.Katibu Mkuu msaidizi wa T.S.U.

5.Waziri wa Elimu.

6.Naibu waziri wa Elimu.

7.Waziri wa Fedha.

8.Naibu waziri wa Fedha.

9.Waziri wa utamaduni, michezo na masuala ya Jamii.

10.Naibu waziri wa utamaduni, michezo na masuala ya Jamii.

Form zinapatikana kwa Swilla L.M Block 6 room 467(namba ya simu +79264766204).

Pia zinapatikana kwa Shaha(Block 2 room 356 Namba ya sim +79269447590).

Uchaguzi utafanyika tarehe 29/05/2011 siku ya jumapili

Ni matumaini yangu kuwa mtajitokeza kwa wingi kuchukua fomu ili tupate viongozi makini,wachapakazi na waadirifu.

Swilla Livingstone M.

(M/kiti tume ya uchaguzi T.S.U)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...