Salaam na heshima kwenu nyote.
KP Production in association with KP Wear Clothing Co. presents 'UPUUZI WA MASOUD KIPANYA', a 46-minute DVD by Masoud Kipanya.
Coming out soon..
Ps, it's just Upuuzi that can be watched and puuzwad.
Masoud Kipanya.
KP Wear Clothing Co.
1st Flr, Millennium Towers
Kijitonyama, DSM.
hiii kaaali kabisa! sijui watawala huwa wanajua kutafakari hizi arts? naona wanaziangaliaga kama picha tu basi!
ReplyDeleteHuwa nasema kuwa uhuru tuliupata kabla ya muda wake muafaka.Kumbe hata wasanii wa kufikiri wanaliona. Hiyo grafu ingepanda tusingepata uhuru mwaka huo. Ona comment yangu kwa mjengwa.
ReplyDeleteTULITAKIWA KUWANYONYA WAINGEREZA KABLA YA KUDAI UHURU
Hapana, tusirejee hayo mambo matatu ya dhana ya maendeleo ya Mwl. Nyerere. Si sahihi.
Dhana yangu ni kwamba jukumu la waingereza kustaarabisha nchi yetu halikutimia kwa sababu ya kuharakisha kwetu kudai uhuru kabla ya uwezo wa kupaa, kama nyigu alivyomwambia nyuki ameshaweza, amwachie ataweka asali mwenyewe. Tuliona tunaonewa saana, lakini mvumilivu hula mbivu, akitumia akili.
Badala ya kudai uhuru tulitakiwa tudai huko UN wasimamie ahadi walizotoa waingereza kutustaarabisha. Wajenge bure mashule, mahospitali, viwanda, vyuo vikuu, na wasaidie kuelimisha umma mkubwa wa watanzania katika kiwango cha BS au MS ndo watupe uhuru.
Nyerere ambaye alikuwa miongoni mwa wenye MS katika juhudi za waingereza kutustaarabisha, hakufikiria vizuri akakurupuka kudai uhuru, sawa na watu wasiosoma wakati huo, sijasema Kawawa. Au alitaka aulambe uraisi wa kwanza?, sawa na viongozi wengine waafrika? Akaja na dhana ya maendeleo ya ujamaa isiyokidhi, nahisi, kujibu tuhuma za waingereza kuwa atajuta kukurupuka.
Sawa mafisadi wababya lakini tungesubiri tusingekuwa nao.
Tungekuwa kama sauzi, watu wangekuwa wanakula boda kuja bongo.