Kikosi kazi cha yanga enzi hizo. Wenye data
tunaomba msaada tutani tafadhali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 16, 2011

    Hiyo ilikuwa ni 1974 kutoka kushoto Waliosimama ni Juma Bomba (Kama kocha msaidizi),Ramadhani Kilambo, Hassan Gobos, Elia Michael, Selemani Saidi, Abdulrahmani Juma na Omar Kapera. Waliochuchumaa toka kushoto ni Bonamax, Maulid Dilunga, Clement Joseph,Moshi Dayan na Gibson Sembuli.
    Ni siku nyingi kumbukumbu zangu zinanikumbusha hivyo kama nimekosea itakuwa ni kidogo sana mtarekebisha wale wenye kumbukumbu zaidi .

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...