Vijana wakijiandikisha kwa ajili ya kuingia seminar ya wiki hii leo Jumamosi Chuo Kikuu cha Mzumbe University mjini Morogoro inayokwenda kwa jina “What next after University” walioshirikiana na East African Speakers Bureau na kudhaminiwa na Vodacom.
Achievers club ni club inayohusiana na uamsho wa vijana kujihususha na ujasiriamali na uongozi(business and leadership) ikiwa na malengo ya kutengeneza vijana watakaokuja kuitawala dunia kupitia taasisi zake mfano IFM,WORLD BANK,ICC, ETC Baada ya mafanikio makubwa ya semina hizi Mzumbe ina plan za kuzindua matawi vyuo vyote tanzania,DEOGRATIUS KILAWE Mwanzilishi wa club nchini anasema kwa yeyote anayetaka kujiunga anaweza kuwasiliana naye kupitia 0717109362
Deogratius (shoto) akiwa na Roman wa AIESEC MZUMBE wakati wa semina
Walio hudhuria semina ya leo wakimsikiliza mwasilisha mada Dkt. Sebastian Ndege
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...