Lile song lililojipatia umaarufu katika kila kona "Rushwa ni Adui wa Haki" kutoka kwao
Ngoma Africa Band aka FFU yenye maskani yake Ujerumani, sasa limetua
 katika kambi ya FFU www.ngoma-africa.com .song hilo lenye ujumbe muhim kwa jamii ni utunzi wake kiongozi wa bendi hiyo Kamanda Ras Makunja, wa FFU
ughaibuni. wimbo huo wenye mistari mitatu mitamu na mingine ya uchachu lakini yote ina
umuhimu wake kwa jamii...,unasikika at www.ngoma-africa.com
Pia kikosi cha Ngoma Africa band kitumbuiza jukwaani jumamosi 25.06.2011 mjini Heidelberg, na Jumapili 26.06.2011 mjini Freudenstadt,huko Ujerumani.
wasikilize FFU at www.ngoma-africa.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 17, 2011

    Aegies walie tu dili nimesha ibiwa hahahahah!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...