Tangazo la Maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa Umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
Banda la Takukuru.Wadau wa Mamlaka ya Elimu Tanzania wakimsikiliza mgeni.
Mwanalibeneke akikatiza katika mabanda ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa wakati wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma iliyozinduliwa rasmi leo katika viwanja vya mnazi mmoja,jijini dar.
Banda la Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba bora na Vifaa vya Ujenzi.
Banda la Benki Kuu likiwa limesheni watu mbali mbali waliopita hapo na kutaka kufahamu mengi yanayofanywa na Benki kuu.
Banda la Tume ya Utumishi wa Umma kama linavyoonekana.
Banda la Ofisi ya Waziri Mkuu likiwa limepambwa na picha za Mawaziri Wakuu waliotangulia mpaka wa sasa.
Mabanda ya Wizara ya Nishati na Madini na Wizara ya Mafunzo na Ufundi.








Kumbe hata JOKA LA KIBISA (takukuru) walikuwepo? Bure kabisa
ReplyDelete