Home
Unlabelled
BRAND NEW CAR WASHING MACHINE FOR SALE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michu sio washing machine ni jetwash kubali kusawazishwa english iz not richebul kwikwikwi.
ReplyDeleteMtoa mada wa kwanza umekariri jina ndio maana huwezi elewa na unakosoa. Soma maelezo yote utapata real meaning-"Power Pressure Car Washing Machine". Sioni kosa.
ReplyDeleteJetwash ni jina dogo na linatumika sehemu ndogo za UK na Europe. Kwa Obama tunaita Pressure Washer/Pressure Washing Machine/Power Wash nk.
Jifunze kuliko kudhani unajua na unakosoa watu na kuwacheka.
ujumbe si umefika lakini???? mbona waswahili tunapenda kudidimizana!???
ReplyDeleteWIZI MTUPU WE UNUNUE 1.7 MILIONI SISI UTUUZIE 2.8 MILIONI WAJAMENI YAANI UNATAKA KUTENGENEZA FAIDA YA 1 MILIONI JAMANI BIASHARA HAIENDI HIVYO.
ReplyDeleteANKAL NAJUA UNABANA SATA NIKIWA NAPINGANA NA WATU KAMA HAWA BASI BANA NA HII
washing machine ni ile ya kufulia nguo michuzi ya dagaa hehehe
ReplyDeleteWatu wengine huwa wanatoa comment bila kufikiria. Jetwash kama hiyo ni 1.7 million ukinunua UK, ujaisafirisha plus TRA hajakupiga chao. 2.8 million is fair...maybe kama wewe huna pesa za kununua....so kaa kimya wanunuzi watamtafuta muuzaji.
ReplyDeleteYour post is really awesome. Keep on service the way towards educating the masses! Thanks for sharing this content with us.More about related articles please visit at https://www.carwashingmachines.co.ke/
ReplyDelete