Warembo watakaochuana katika shindano la kumtafuta Vodacom Miss Dar Inter College litakalofanyika Juni 17, Ijumaa, wiki hii kwenye ukumbi wa Sun Cirro uliopo Sinza jijini Dar es Salaam wakiwa  katika ukumbi wa Break Point ya mjini katika maadalizi ya mwisho mwisho kabla ya kinyang’anyiro hicho ambapo, mratibu wa shindano hilo, Angela Msangi, amesema kuwa katika kunogesha fainali ya shindano hilo msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya ‘Bongo flava’, Dully Skyes atatumbuiza
 Mazoezi makali
 Kila mshiriki yuko tayari

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...