Leo Wadau wa Citibank Tanzania wametoka ki-Mumbai, katika kuadhimisha “Diversity Week” ambayo inaadhimishwa kwenye matawi yote ya Citi BAnk duniani wiki hii. Pichani juu mdau Frankie na bosi wake wakiwa wamekula Khoti Khote Khotahe...
Msosi nao ni wa Khoti Khote Khotahe
Wadau wakiwa ki-Mumbai
Citi Bank Khotahe....
Citi Bank, Bho-fain chee....haaa...






kweli ukiolewa usilale na chupi !!!
ReplyDeletemdau sokoni kkoo
areeee bayaaaaa kemchoooooo!!! wanaume hawakufurahi ila wanawake meno nje
ReplyDeleteTeh teh teh ........Asante sama ankal, Mimi nitaiiga hii kwenye kampuni yangu, kuanzia Julai hii. Alex Bura, Dar
ReplyDeletehahahhaaaaaaa....... habari ndio hiyo,,, ukiyavulia maji....
ReplyDeletenawaona wadau akina kazinje, Da Neema Wambura... wana wa mugyni akina Jacky....
Nini nafanya Bhana ... taka ya uvunguni.. hakuna nyanyua tanda siku izi..... beba na dodoro pia...