Leo Wadau wa Citibank Tanzania wametoka ki-Mumbai, katika kuadhimisha “Diversity Week” ambayo inaadhimishwa kwenye matawi yote ya Citi BAnk duniani wiki hii. Pichani juu mdau Frankie na bosi wake wakiwa wamekula Khoti Khote Khotahe...
 Msosi nao ni wa Khoti Khote Khotahe
 Wadau wakiwa ki-Mumbai
 Citi Bank Khotahe....
Citi Bank, Bho-fain chee....haaa...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 16, 2011

    kweli ukiolewa usilale na chupi !!!






    mdau sokoni kkoo

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 16, 2011

    areeee bayaaaaa kemchoooooo!!! wanaume hawakufurahi ila wanawake meno nje

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 16, 2011

    Teh teh teh ........Asante sama ankal, Mimi nitaiiga hii kwenye kampuni yangu, kuanzia Julai hii. Alex Bura, Dar

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 17, 2011

    hahahhaaaaaaa....... habari ndio hiyo,,, ukiyavulia maji....

    nawaona wadau akina kazinje, Da Neema Wambura... wana wa mugyni akina Jacky....
    Nini nafanya Bhana ... taka ya uvunguni.. hakuna nyanyua tanda siku izi..... beba na dodoro pia...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...