![]() |
Mwalimu Francis Raphael Kitime |
Mwalimu Francis Raphael Kitime, baba yake John Kitime (JFK) wa Kilimanjaro Band 'Wana Njenje' leo anafurahia kutimiza hepi besdei yake ya 80 ya kuzaliwa. Na mwanae, JFK, ambaye Jumamosi hii atakuwa Dodoma kutoa mada juu ya Hakimiliki kwa Wah. Wabunge, anashukuru Mungu kwa kumjaalia baba yake umri huo huku akiwa na nguvu zake kama kawa. Globu ya Jami inamwamkia Mwalimu Kitime Shikamoo na kumtakia maisha mema na marefu zaidi.
Huyu Baba yetu naye ni Mwanamuziki?
ReplyDeleteLOH MWALIMU WANGU 1959 MIDDLE SCHOOL IRINGA, SO HAPPY TO SEE HIM AGAIN ALWAYS SMART. NA ALIKUWA AKIPIGA GITAA HATA MIAKA HIYO TUKIWA BOY SCOUTS
ReplyDeleteHongera mzee, umetizimiza miaka 80 ukiwa kama una miaka 60. safi sana Mungu akulinde.
ReplyDeleteJamani ni baba ya Blandina na Charles, siyo John tu.
ReplyDeleteHongera sana Mwalimu Kitime, na mjasilimari Kitime mnakumbuka duka lake la Mawese lilikuwa pale karibu na Msindo?