Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mohammed Othman Chande akipata maelezo kutoka kwa maafisa wa Bunga na hatimaye kusaini kitabu cha wageni alipotembelea maadhisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika viwanja wa Mnazi Mmoja leo. Picha na Prosper Minja-Bunge
 Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Mohamed Chande Othman akisoma Jarida la Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania wakati alipolitemblea Banda la Tume hiyo wakati wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea Dar es Salaam 
Jaji Mkuu Mh. Mohamed Chande Othman akipata maelezo kutoka kwa maofisa wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora ambapo alilitembelea pia Banda la Tume hiyo
Jaji Mkuu Mh. Mohamed Chande Othaman akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kupata maelezo kutoka kwa maofisa sheria wa Tume. Picha zote na mdau Munir Shemweta Ofisa Habari wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...