Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais Mstaafu wa Seychelles Mheshimiwa James Manchan kwenye uwanja wa mpira wa mjini Victoria,mji mkuu wa Seychelles wakati wa kuadhimisha sherehe za siku ya Taifa hilo tarehe 18.6.2011.
Rais Jakaya Kikwete akipokewa rasmi na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Seychelles Mheshimiwa James Alix Michel mara tu baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa Victoria nchini humo tarehe 18.6.2011 kwa ziara ya kikazi ya siku moja. Rais Jakaya Kikwete akipokewa rasmi na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Seychelles Mheshimiwa James Alix Michel mara tu baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa Victoria nchini humo tarehe 18.6.2011 kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Seychelles Mheshimiwa James Michel kweye ikulu ya nchi hiyo mjini Victoria tarehe 18.6.2011
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mke wa Rais wa Seychelles Mama Natalie Michel huko ikulu tarehe 18.6.2011
Rais Jakaya Kikwete akipokewa rasmi na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Seychelles Mheshimiwa James Alix Michel mara tu baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa Victoria nchini humo tarehe 18.6.2011 kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na Rais James Michel wa Jamhuri ya Seychelles kwenye ikulu ya nchi hiyo mjini Victoria tarehe 18.6.2011
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na Natalie Michel mke wa Rais wa nchi hiyo kwenye ikulu ya nchi hiyo mjini Victoria tarehe 18.6.2011.
Picha zote na Mdau John Lukuwi
haya JAMHURI YA SHELISHELI NI VISIWA VILIVOMBALI KABISA NA BARA LA AFRICA NA VIPO STABLE HAVIJAVAMIWA TOKEA MAJARIBIO YA MIAKA YA 70 AMBAPO TANZANIA ILIINGILIA KATI.
ReplyDeleteSASA NI NCHI TAJIRI YA MWANZO KWA AFRICA MSHAHARA UTAFIKIRI UNAISHI UK,JE ZANZIBAR ATAVAMIA NANI WAKATI TUPO KARIBU ZAIDI NA BARA LA AFRICA?
HEBU REKEBISHENI MUUNGANO UWE MAMBO YA ULINZI TU KAMA VILE FRANCE NA MONACO.Maana muungano wa kutoleshana ushuru na kubaniana tumechoka nao