Askofu Mkuu wa Kanisa katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo akimkaribisha ofisini kwake, Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama jijini Dar es Salaam, ambapo pamoja na mambo walifanya mazungumzo ya faragha
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akisaini kitabu cha wageni Ofisini kwa Askofu Mkuu wa Kanisa katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo. Picha na Bashir Nkoromo




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...