Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu, Issa bin Shaaban Simba akimkaribisha ofisini kwake, Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama, Kinondoni mjini Dar es Salaam, leo. Mukama alikwenda Ofisini kwa Mufti kwa ajili ya kumsalimia na kuwa na mazungumzo naye ya faragha. Kulia ni Katibu Mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Sheikh Seleman Lolila.
KATIBU Mkuu wa CCM,Wilson Mukama akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya wakati alipomtembelea Katibu Mkuu, Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makamo Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba mjini Dar es Salaam, leo. (Picha na Nkoromo Daily Blog)


asisahau kumtembelea Askofu Mkuu.Dr.Mokiwa wa Kanisa la Anglikan.
ReplyDeleteanonymous wa kwanza hapo juu..Acha udini.. mbona jana alipomtembelea Pengo waislamu hawakuongea neno??? au jadi yenu kuongea???
ReplyDelete