Laura mwenyewe akisaka chakula bora

 Laura akiwa na 'senior coach' wake. Ocean Ong
aliyempika katika suala zima la WELLNESS

 Laura anakwambia chakula ni UHAI.. ila unakula nini??

WELLNESS is about having fun na ku'refresh from
hard days na stress once in a while


What is WELLNESS?
1. The condition of good physical and mental health, especially when maintained by a  proper diet, exercises and habits (American Heritage Dictionary).

2 .It's all about feeling better and looking better,

3. Wellness is about waking up every morning and having enough time, energy and freedom to live the life you want.

LAURIX WELLNESS CONCEPT inategemea kuanza ku'operate soon nchini Tanzania chini ya Director, Anna-Laura Turuka (LAURA), mrembo ambaye yupo katika fani ya Food and Process Engineering na sasa yupo nchini Malaysia akijiendeleza zaidi  katika fani hii.

Ameamua kuleta awareness Tanzania katika suala zima la WELLNESS hususan katika upande wa Nutrition ambao umegawanyika katika sehemu mbili, Inner nutrition(balanced diet) and Outer Nutrition (skin care).

Laura pia atakuwa anatoa huduma ya WELLNESS EVALUATION na INNER BODY SCAN ambapo utaweza kujijua  "inner parameters" zako inayohusisha body weight (uzito), body fat range(kiasi cha mafuta mwilini), percentage water range(kiasi cha maji mwilini), muscle mass (ujazo wa misuli), physique rating (inahusisha mazoezi), basal metabolic rate (kiasi  cha nguvu/calories ambacho mwili wako unahitaji ukiwa umepumzika), basal metabolic age (mwili wako una'operate kama una miaka mingapi..chini, juu au upo level), bone mass (ujazo wa mifupa) na visceral fat (mafuta yanayozunguka mifumo muhimu kama moyo, maini na  sehemu  yote ya tumbo nk). Yote hayo kwa shilingi 5000/= tu na kukupa ushauri ufanye nini kuhusu suala zima la mazoezi na mlo kamili kutokana na vyakula  vinavyotuzunguka atakushauri upange diet yako ipasavyo.

Huduma hii itakufikia popote ulipo unachotakiwa kufanya ni kumpigia na ku'book appointment siku moja au  mbili kabla na kumuelekeza ulipo. Ndio hasa kazi ya personal wellness coach na anakushauri binafsi/personally kuhusu afya yako. Unaweza kuanza kuwasiliana naye kupitia laurynlaura84@yahoo.co.uk au BB pin 21230EB3. Atatoa  namba punde huduma itakapoanza rasmi.

Haya watanzania mambo mazuri hayo. Huduma itaanzia jiji la Dar es Salaam  mwisho wa June hii

CHEZEA  LAURA WEWE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. ooo hongera sana kwa kutuletea huduma hii, watanzania walio wengi wanahitaji sana huduma hii kwa maisha bora na ya uhakika ok tunaisubiri kwa hamu huduma hii

    ReplyDelete
  2. Wooow mamii hongera sanaaaaaaa big up Laura i support u 100% HEALTHY IS WEALTHY Mungu akutangulie..

    This is really working it changes my life completely i lost 20kg very easy n healthy i feel soo great..

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 09, 2011

    kwa kweli hapa umetukomboa maana belly za wengi hapa jijini utadhani ni first trimester belly. congrats na karibu we are together Laura

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 09, 2011

    ooh my college mate pale udsm coet.........ur soo special for this idea...trust me!!ur going to employ a number of people..don forget to open a company and operate it with a number of ur fellow engineers whom ur going to train them too.....kwa icho kias kwa kuanzia sio mbaya....ooh jamani hongeraa mpiganaji wetu

    ReplyDelete
  5. jembeulayaJune 09, 2011

    Dada hongera lakini ni hivi 90% ya vyakula vya supermarket ni processed food na hivi vyakula ndio chanzo cha magonjwa mengi mfano kisukari, kiharusi, kansa nk. ndio ukaona tokea na sisi Tanzania tuanze ku-import haya mavyakula na kusambaa kwa supermarket ndio haya maradhi yamejitokeza kwa wingi, Tafadhali waambie watu wawe wanakula vyakula freshi toka kwa mkulima,mfugaji na sio vilivosindikwa na kuwekwa ma-additive ili kuliokoa taifa letu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 09, 2011

    Chakula kizuri ni kile kinachopatikana moja kwa moja toka shamba (fresh): ni kile kilichozalishwa kwenye aridhi ambayo mimi na wewe walaji tunaifahamu kuwa haina sumu, ni chakula kile ambacho hakikumwagiliwa madawa ya kuuwa wadudu(pestcide)nk. Vyakula vyenye kuhifadhiwa kwenye karatasi za nailoni si salama, kwani vinasababisha saratati na maradhi mengine mengi. Vyakula hivyo vimewekewa madawa ya huvihifadhi ili visihalibike mapema. Madawa hayo (preservatives) ni hatari kwa afya ya mwanadamu. Vyakula hivyo vingi vinakaa kwenye majakofu kwa kipindi kirefu cha usafirishaji na uhifadhi gharani. Vyakula hivyo pia havina radha kamili kwa sababu vinavunwa kabla ya kukomaa vema, na pia huivishwa kwa madawa (gas) hasa matunda. Hata maji ya chupa sio salama. Tatizo kubwa ni kuwa nchi maskini kama TZ tunapokea elimu yoyote tukidhani kuwa kila elimu ni nzuri kwetu kwa kuwa inaitwa elimu!. Hata hawa watu (senior coach) wamesoma ndiyo, lakini hawana cha kufanya kwenye nchi zao (unadhani kwa nini?), kwa hiyo wanakuja kwenye nchi maskini kama TZ ambako watauza elimu (ujinga wao) kwa ulaini na haraka.
    Tunayo masoko yetu hapa nyumbani ktk miji mbalimbali, masoko haya yanatuuzia vyakula bora kabisa (Organic) Ingawa masoko hayo mengi ni ya wazi au yako nje lakini bado vyakula ni bora kuliko vya senior coach. Osein, yule bwana mkimbiaji wa kutukuka wa bio fupi toka Jamaika aliyefanya maajabu kwenye olimpiki kule nchini uchina anakula kama ifuatavyo: asubuhi anakula dumplin au festival(mandazi ya ki-Jamaica), chakula cha mchana anakula wali kwa mbuzi, maharage, mboga,nyama ya mkia wa ng'ombe. Usiku anaweza kula ndizi za kuchemsha na samaki (fresh). Maisha yanakwenda. Vipi afya yake ilimruhusu kuwashinda walaji wa vyakula vya kwenye nailoni na mikebe kwa makumi ya mita! Tusiangaike sana, elimu tunato wenyewe toka enzi za wahenga, hioyhioy tuitumie.
    Inawezakana kuwa ni imani kuwa uzuri ni wembamba, au mtu mzuri (mlembo ni yule mwembamba). Nataka kuwa kumbushia kuwa hawa watu kwenye picha hii ndiyo miili yao ilivyo. Kwa hiyo basi kina Betina na Pimbi hata tukila saladi(majani) kila leo inawezekana mili yetu ikabaki palele. Ktk nchi zilizoendelea (ulaya) siku hizi swala la kupunguza uzito sio swala la kiafya, ila limekuwa ni swala la urembo na kwa vijana (wanaume) ni swala la kuvutia kinadada "eti six packs". Ninaomba nieleweke kuwa ninakubaliana na swala kuwa uzito unaweza kusababisha maradhi, lakini chakula cha nailonini kinaweza kutuletea madhara zaidi. Tukienzi chakula chetu na eimu yetu. Mungu inusulu TANZANIA!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 09, 2011

    Laura!!!!! Duuuu we ni nomaaa!!!!We cant wait 4 your products!!!!


    Rodrick Mwambene

    ReplyDelete
  8. ASANTENI. The best are on the way coming...stay tuned. Laura

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 09, 2011

    No product..I just give u adv ice on how to balance your diet using vyakula vinavyotuzunguka kama nyama, mboga ZAIDI, matunda na vyote daily from monday to sunday ila of all na kukupa umuhimu wa MAJI. Asante ni tena. LAURA

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 09, 2011

    Asanteni kwa emails na ujumbe kwa BBM...nimejitahidi kuwajibu wote naamini na ninazidi kuwajibu> Naamini wengi mmeridhishwa. Pamoja tunaweza Watanzania. Goodluck! LAURA

    ReplyDelete
  11. Immaculata MsilamaJune 10, 2011

    great news dear.we realy need this..its about time watu tuache kula kujaza matumbo bila kujali afya..u definately hv my support all da way.u go girl....

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 11, 2011

    bravo twin bravo tunasubir huduma lol! chezea 3RD FEBRUARY POINT weweeeeeeeee.aisha kayumba

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...