Home
Unlabelled
libeneke la 'Mateja' wa geti la Lodware - Ngorongoro crater
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hawabaki hao mateja?
ReplyDeleteWanaoongoza watalii wanafanya kazi gani? walitakiwa kuwataarifu watalii wao kuhusu nyani hao. Haya mambo yanatushushia hadhi sana kwani mtalii kama hafurahishwi na nyani hao anaweza asije tena.
ReplyDeleteNa kama wapo watalii wanaofurahishwa na tabia ya nyani hao basi ni moja ya mambo yanayoweza kutumika wakati wa advertisement ili kuwavuta wanaohitaji kuona werevu au ujinga wa nyani hao.
Kima Punju ni wabaguzi. Wakiona wazungu wanasherekea na kuwafata lakini waafrika wanawachukia. Inawezekana na hao nyani pia nao wabaguzi, bona hawawafati wamasai?
ReplyDeleteWe unafikiri hawana akili? Wajua kuwa wamasai wana sime.
ReplyDeleteJambo la kushangaza ni kwa sababu wachopoa side mirror na windscreen wiper, utafikiri wana biashara ya spea za magari
tehe tehe tehe
ReplyDeletekaaazi kweli kweli..ubaguzi upo wanajua wazungu wameleta mlo ndio mana wanawafata...
NILIONA MAKALA MOJA KWENYE TV YA UINGEREZA NA AMERICA HAYO NI MATUKIO YA KAWAIDA NA HAO UNAOSEMA WANAWEZI WASIJE TENA NDIO WANAPATA STORY.
ReplyDeleteUSIWAONA WAZUNGU NI WATU WABAYA WAKUKATAA KUJA TZ KWA SABABU YA NYANI,WAZUNGU WANAPENDA WANYAMA WEWE MSWAHILI HATA KUFUGA PAKA KWAKO NI ALAMU
inasemekana baada ya miaka kazaa wanyama kama hawa watakuja kuwatawala humain being,sisi tutaitwa wanyama,na wao kujiona kuwa ndio binadamu,kwani ishara tumeziona ndio hizi wameshanza kupata akili,wanajua kupora vitu vya samani tu,kama dhahabu,kamera,simu,hata pesa pia,hehehe baada ya muda mutaona wanaongea kama binadamu,.na hapo ndipo watafanya mapinduzi ya kweli kwa wanadamu,hahaha
ReplyDelete