Mkuu wa libeneke hujambo.
Naomba uwawekee wana libeneke habari mpya. ni mtandao uitwao www.wasomi.info ambao unatoa habari za kielimu nchini. kupata taarifa za maduka ya vitabu yote Tz, Publishers wote, Shule za sekondari zote nchini (za serikali na binafsi), college zote za certificate na diploma (serikali na binafsi), vyuo vikuu vyote nchini. Pia mtandao unatoa rewards au zawadi kwa members ambao watasaidia kupata member wengine zaidi. Mungu akubariki.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...