Mgeni rasmi katika mashindano ya Ngoma za Asili,Katibu Tawala wa Wilaya ya Tabora,Bi.Prudencia Kwabila (pili kulia) akikabidhi zawadi ya Tshs 500,000/= kwa mwakilishi wa kikundi (Mwenge Sanaa) kilichoshika nafasi ya kwanza katika fainali za Ngoma za Asili mkoani Tabora, mshindi wa pili ni Magereza Group na ushindi wa tatu ulichukuliwa na Msange JKT, nne ni Milambo Artist Group na tano ni Ugowogowo kutoka Uyui.
Ugowogowo Group kutoka Uyui wakiwa katika picha ya pamoja.
Ngoma zikiendelea.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...