Na Freddy Macha, London
Raza Mohamed ambaye ni hazina ya taifa letu amekuwa akichora toka akiwa mtoto wa miaka sita tu mwaka 1952.
“Nilianza kwa mkaa...” alisema nilipomhoji nyumbani kwa mwanae, jana.
Soma habari zaidi katika blog la Kitoto:
Raza, hazina ya taifa letu; akiwa na mwandishi wa blog la Kitoto, Freddy Macha, London, Juni 2011. Picha na Louisa Le Marchand
Raza na picha ya “Watoto wakicheza Mdaku” iliyopigwa Unguja na F Macha.
“Chai ya Asubuhi” ni Moja ya picha zake msanii Raza Mohamed zitakayoonyeshwa Charlton House, Greenwich, London. Imepigwa na F Macha
huyu mzee ni kweli hazina ya taifa nakumbuka amechora picha katika vitabu vingi nilivyosoma shule ya msingi.
ReplyDeleteMUNGU AMBARIKI SANA MZEE RAZA NA AMZIDISHIE MAISHA MAREFU
Hiyo caption ya watoto wakicheza mdako sijui kama inafaa. Nijuavyo mdako ni shimo moja lakini hapo nionavyo mimi walikuwa wakicheza bao. Kama nimekosea niwie radhi Ankal.
ReplyDeleteHiyo picha ya watoto ni kuwa wanacheza bao sio MDAKU!!
ReplyDeleteHongera Sana Raza. I am proud of your hardworking and talent.As per our conversation at the Diaspora, you have got what it takes to make a breakthrough on an International market. All Tanzanians are behind you in support.Well done and keep it up! Maseke(East Midlands).
ReplyDelete