Mabaki ya Mini Benz lililoshika moto usiku huu Kinondoni Biafra jijini Dar. Hadi tunaenda hewani sababu ya kuwaka moto haijajulikana na wenye nalo hawakuwepo kuongea. Ila mashuhuda wanasema Benzi hili likuwa likiendeshwa na mmatumbi akiwa na abiria watatu wazungu. wote walitoka salama na wasamaria wema na majirani walifanya kazi ya ziada kuuzima moto huo kwani uliokuwa karibu na nguzo ya umeme
Jirani wema walijitolea ndoo na maji ya bomba kuzimia moto huo
Jirani mwema akizima moto kwa maji
Sehemu ya umati wa watu ukishuhudia moto huo
Ndoo na mai ya bomba
Majirani wakizima moto kwa maji ya bomba
Umati ukishuhudia
Msamaria mwema akipambana na moto kwa ndoo uya maji
Haikuwa kazi rahisi
Mini Benz likiteketea












NAFIKIRI TAKRIBANI MIEZI MITATU ILIYOPITA TANZANIA ILIKUWA IKINADI FIRE ENGINE MPYA AINA YA BAJAJI, MBONA WANANCHI BADO WANAPAMBANA NA MOTO KWA KUTUMIA NDOO ZA MAJI? AMA BAJAJI ZIMESHAANZA KUTUMIKA KAMA DALADALA! MAMBO YA AIBU NA HATARI KWA WAKAZI WA BIAFRA KINONDONI.
ReplyDeleteAroo nani mtaalamu anajua kwann benzi zaungua sana hasa bongo. Is there any technical difficult about them? yani i have been seen these cases several times.
ReplyDelete