Mtu Mmoja amekufa na wengine takriban arobaini na sita wamejeruhiwa vibaya baada ya kutokea mlipuko mkubwa nyuma ya kituo cha mafuta barabara ya Kirinyaga Road katikati ya jiji la Nairobi na kuleta kizaazaa katika mji huo mkuu wa Kenya.
Kwa mujibu wa gazeti la kila siku la The Standard, chanzo bado kinatafutwa huku kukiwa na taarifa kwamba huenda matanki ya mafuta yalikuwa yamelipuka na taarifa zingine zinashuku kuwa ni kombora.
Kwa mujibu wa gazeti la kila siku la The Standard, chanzo bado kinatafutwa huku kukiwa na taarifa kwamba huenda matanki ya mafuta yalikuwa yamelipuka na taarifa zingine zinashuku kuwa ni kombora.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...