Waziri Mkuu wa India Mhe. Dkt. Manmohan Singh (katikati) akisalimiana na Mbunge wa Singida Mjini Mhe. Mohammed Dewji katika hafla fupi ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Balozi wa India nchini katika Hoteli ya Kempinski jijini Dar wakati wa ziara ya Waziri mkuu huyo hivi karibuni.Wa kwanza kushoto ni  Mke wa waziri Mkuu wa India Mama Gursharan Kaur.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...