HABARI ZA YAKO KAKA, POLE NA MAJUKUMU YA KAZI, NAOMBA MSAADA WAKO UWEZE KUNITANGAZIA PASPOTI YANGU KATIKA GLOBU YA JAMII.
JINA LANGU NI JUMA TINGATINGA MWAYONGA NAISHI MABIBO MKOA WA DAR ES SALAAM, NIMEPOTEZA PASPOTI YA KUSAFIRIA YENYE NA AB 045876 KATIKA MAENEO YA MANZESE.
TAFADHALI NINAOMBA YEYOTE AKAYEIONA ANISAIDIE. NAPATIKANA KATIKA NAMBA ZIFUATAZO:
0659 473284.
POLE SANA KWA KUPOTEZA PASS.NAKUSHAURI USIHANGAIKE SANA NA ONLINE MEANS.NJIA RAHISI NI KWENDA MAENEO ULIYOPOTEZA HIYO KITU TANGAZA DAU KWA VIJANA WATAKUFANYIA HIYO KAZI.VINGINEVO NI NGUMU MBONGO WA KAWAIDA TENA WA PALE MANZESE KUWA NA ACCESS YA MTANDAO.
ReplyDeleteHuyo jamaa wa kwanza alichokiongea ni FACT kabisa. Lakini jambo la kwanza kufanya unatakiwa kuripoti polisi kuhusiana na upotevu wa huo passport. Halafu baada ya hapo sasa uendelee na mkakati wako wa kuitafuta. Ushauri wa huyo jamaa wa kwanza ni muhimu sana. Ufuatilie, utafanikiwa
ReplyDeleteMdau acha uongo hujapoteza bali umeibiwa! si uwe tu mkweli ili upate msaada? Fika pale kijiweni kwa Bakhera utoe taarifa kwa vijana wa pale then utoe OFA utakayotoa ukiletewa unaacha na namba yako simu baada unapigiwa simu kuwa imepatikana! Ole wako uje na longolongo au na polisi
ReplyDelete